Timu ya mpira wa Netiboli na mpira wa wavu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imewasili mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba 2025, imeendelea na progra…
Read moreNahodha msaidizi wa timu ya soka ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na Watanzania nchini Sweden, Richard Ntirugelehwa, maarufu kama Messy, akimkabidhi B…
Read more*_Amkabidhi Nyumba jijini Dodoma* *Mheshimiwa Majaliwa asema Simbu ameliheshimisha Taifa* *Atoa zawadi kwa Timu zilizofanya vizuri kimataifa* Rais D…
Read moreMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda akimvisha cheo kipya Sajini Alphonce Simbu ambaye ni Mshindi wa Medali ya Dhahabu ya Marathon …
Read moreWizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imefafanua kuhusu taarifa zilizosambaa mitandaoni zikionyesha wachezaji wa Pamba Jiji FC wakifanya maz…
Read more-Mashindano ya Dunia Tokyo Japa - muda saa mbili na dakika tisa na sekunde arobaini na nane ( 2:09:48) - medali ya Kwanza kwenye historia ya Tanzan…
Read moreWachezaji wa timu ya soka ya wanawake ya Future Stars Academy ya Arusha wakimkabidhi kombe la mshindi wa pili Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania…
Read moreMashabiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na wapenzi wa mpira wa miguu, tayari wameanza kusogea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Da…
Read moreNa Hamis Dambaya, DSM. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imenunua tiketi 500 kwa ajili ya kulipia mashabiki 500 kuingia uwanja wa Benjamini Mka…
Read moreNa Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji. Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa …
Read moreSHIRIKISHO la Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (Taff) limezikabidhi zawadi kwa timu zilizofanya vizuri katika mashindano ya soka yaliyofanyika A…
Read moreNa Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF) limetangaza Ivo Mapunda kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ‘Tembo Warrior…
Read moreDkt. Jim Yonazi aongoza makatibu kukagua viwanja,asema sasa Tanzania timamu kwa CHAN . Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu D…
Read moreShule ya Sekondari ya Filbert Bayi imetoa zawadi ya fedha taslimu kwa timu ya riadha ya shule hiyo iliyofanya vizuri kwenye mashindano ya Umoja wa Mi…
Read moreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua …
Read moreDodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Eng.Yahya Samamba amesema hadi kufikia tarehe ya leo Juni 28, 2025 Sekta ya Madini imekusanya Maduhuli ya kiasi c…
Read more
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
Social Plugin