Ndivyo anavyoonekana Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro Bwana Abdul-Razaq Badru (kushoto) kumweleza waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Katikati) alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika maadhimisho ya siku ya wanyama pori yaliyofanyika Viwanja vya nanenane Njiro Arusha.
AZAKI ZAITAKA SERIKALI KUTENGA 3% KWA ULINZI WA MTOTO
-
Na Janeth Raphael MichuziTv – Dodoma
Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yameiomba Serikali kupitia Bunge
kuhakikisha asilimia tatu ya mapato ya halma...
5 hours ago

0 Comments