Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka wa Fedha 2025/2026.
AZAKI ZAITAKA SERIKALI KUTENGA 3% KWA ULINZI WA MTOTO
-
Na Janeth Raphael MichuziTv – Dodoma
Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yameiomba Serikali kupitia Bunge
kuhakikisha asilimia tatu ya mapato ya halma...
12 hours ago





0 Comments