SIMBU ASHINDA MEDALI YA DHAHABU

-Mashindano ya Dunia Tokyo Japa

- ⁠muda saa mbili na dakika tisa na sekunde arobaini na nane ( 2:09:48)

- ⁠medali ya Kwanza kwenye historia ya Tanzania

- ⁠mchezaji kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

- ⁠mbio za kilomita 42

- ⁠Tokyo, Japan leo 15/09/2025

Post a Comment

0 Comments