MASHABIKI WA TAIFA STARS WAKINGIA KUTOA HAMASA KWA MKAPA

Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na wapenzi wa mpira wa miguu, tayari wameanza kusogea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, itakayochezwa saa 2:00 usiku katika uwanja huo, leo Agosti 22, 2025.

Post a Comment

0 Comments