RAIS SAMIA AZINDUA MAKAO MKUU YA ULINZI WA TAIFA

 


Taswira ya jengo la  Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), lililopo eneo la Kikombo Mkoani Dodoma mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari, 2026.

Rais  na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga Light Pistol  juu  ikiwa ni ishara  ya  kuzindua  jengo  la Makao Makuu ya Ulinzi  wa Taifa (MMUT) yalliyopo  eneo la Kikombo Mkoani Dodoma  leo tarehe 24 Februari 2026.
Rais  na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi bendera Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda.
Rais Dkt  Samia Suluhu Hassan akikabidhi ufunguo wa jengo hilo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo S. Nyansaho.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  akipigiwa wimbo wa Taifa na baadaye kupigwa mizinga.
Rais Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi.
Baadhi ya Waambata wa Majeshi walioziwakilisha  nchi zao nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu  Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa, Askari, Watumishi wa umma na wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa jengo hilo. 

Picha zote na Richard  Mwaikenda, Dodoma 

Post a Comment

0 Comments