OMAR PUNZI ATOA MAFUNZO YA ITIFAKI KWA SMAUJATA

Mwanadiplomasia Abdul Punzi ametoa mafunzo ya Protocol and Etiquette ( Ustarabu na Itifaki za Viongozi) Maadili na Uzalendo kwa watumishi. 

Mafunzo hayo yalikua yamelenga kuhakikisha taasisi mbalimbali zinajengewa uwezo wa kiimadili katika kazi .

Mtaalamu wa Kidiplomasia Uongozi na maadili Omary Abdul Punzi amesema kuwa katika mafunzo hayo  ya Itifaki amewafundisha Taasisi ya SMAUJATA mafunzo yaliyofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi Chuo Cha VETA Keko Jijini Dar es Dar es Salaam.

Mafunzo hayo yamefunguliwa na Kaimu Mkuu wa Chuo Cha ETA Salehe Omary aliyemuwakilisha Mkuu wa Chuo hicho Fredrick Nelson Rwegasira.

Katika mafunzo hayo yalijikita katika 

Itifaki na Ustarabu wa Viongozi sambamba na majadiliano 

Post a Comment

0 Comments