RC NYONGO KUWASAKA WANAOCHUKUA SHERIA MKONONI NA KUWA MFANO


Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ambaye piMsitake tuanze kuwachukulia mfano na momi nisingependa kuwatafuta watu wanaojichukulia sheria mkononi nikawafanya mfano ikawa fundisho kwa wengine tuna sheria tuna kanuni usichukue sheria mkononi.

Unaweza ukawa uko sahihi au usiwe sahihi Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya kuanzia sasa tukisikia kuna mtu amechukua sheria mkononi Mheshimiwa Mbunge naomba unisamehe siku hiyo zima na simu kabisa sababu watakulilia nitawasaka wanaochukua sheria mkononi na kuwafanya mfano.a ni Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utawa Bora amesema sisi wenyeji wa Chalinze hawa wote ni sehemu yetu wakulima ni wakwetu na wafugaji ni wakwetu tunachoendelea kuhimizana ni mshukamano na amani ndani ya maeneo yetu tuendelee kukutanisha makundi haya.


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo ametoa onyo kali kwa wafugaji ambao wanapatikana na kosa la kuvunja sheria kwa kujichukulia sheria mikononi. 

Amesema hayo kwenye mkutano wa wakulima na wafugaji pamoja na watumiaji wengine wa ardhi ulliofanyika katika Kijiji cha Minduturieni Chalinze mkoani hapa.

RC Nyongo amesema msitake tuanze kuwachukulia mfano na mimi nisingependa kuwatafuta watu wanaojichukulia sheria mkononi.
Msitake tuanze kuwachukulia mfano na momi nisingependa kuwatafuta watu wanaojichukulia sheria mkononi nikawafanya mfano ikawa fundisho kwa wengine tuna sheria tuna kanuni usichukue sheria mkononi.

Unaweza ukawa uko sahihi au usiwe sahihi Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya kuanzia sasa tukisikia kuna mtu amechukua sheria mkononi Mheshimiwa Mbunge naomba unisamehe siku hiyo zima na simu kabisa sababu watakulilia nitawasaka wanaochukua sheria mkononi na kuwa mfano.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Shaibu Ndemanga  akifafanua  jambo katika mkutano huo.

Post a Comment

0 Comments