Mkurugenzi Mkuu wa REA Hassan Saidi amesema tumekutana kwa ajili ya kujadili jinsi tulivyotekeleza mpango kazi ambao tulikubaliana mwaka jana tunafanya hivi kwa sababu walipoleta fedha zinakuja kwenye miradi maalumu na pia tunakuwa na wajibu wa kuwaonesha wale tunaoshirikiana nao jinsi gani fedha zao zimetumika.
Amesema hayo katika kikao cha kujadili utekelezaji wa mpango kazi wa utekelezaji wa miradi .
Akifungua Kikao kazi cha Pili cha Mwaka chaWadau wa Maendeleo wa Sekta Nishati kilichofanyika Novemba 6 2026 Kisawani Mafia
Ameeleza Wadau wa Maendeleo wameridhishwa na Utekelezaji wa Miradi ya upelekaji wa Umeme Vijijini na wako tayari kushirikiana na Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kutekeleza Miradi hiyo.
Ameeleza kuwa Nishati ni Nyenzo Muhimu ya Maendeleo katika Nchi na Mkoa wa Pwani kwa ujumla amesema kuwa Viwanda katika Mkoa wa Pwani vinajengwa Vijijini hivyo nishati ya Umeme ni muhimu katika Mkoa wa Pwani amesema Nyongo
RC Nyongo amesema wadau wa maendeleo wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya upelekaji wa umeme vijijini na wako tayari kushirikiana na Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kutekeleza miradi hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. Felician Mramba amesema vijiji vyote vimefikishiwa umeme hadi kufika 2025 uwiano wa nyumba zinazotumia nishati umefikia asilimia28.6
Mkurugenzi Mkuu wa REA Hassan Saidi akizungumza katika mkutano huo uliofanyika Wilayani Mafia Mkoani Pwani tarehe 6 Novemba 2026.





0 Comments