ya eneo la Ngorongoro *Dkt. Abdul-Razaq Badru* jana usiku tarehe 9 Novemba. 2026 alitua kwenye kambi ya timu hiyo inayoshiriki mashindano ya *SHIMMUTA* mkoani Morogoro kukagua hali ya kambi hiyo na maendeleo ya wachezaji.
Mara baada ya kukutana na wachezaji hao *Dkt.Badru* ametoa maelekezo ya wanamichezo wa Ngorongoro kutumia fursa hiyo Kama mojawapo ya kujifunza mambo mapya kutoka taasisi nyingine.
“Tumieni michezo kuitangaza Ngorongoro, chezeni kwa nguvu zenu zote Ila mkumbuke michezo ni furaha na amani na muwe tayari kupokea aina yoyote ya matokeo,”alisema Dkt.Badru.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi
Afisa Michezo wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro *Yotham Gitige* alimshukuru kamishna kwa ziara hiyo na kusema kuwa imewatia moyo katika ushiriki wao kwenye michezo hiyo.


0 Comments