MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI KUZINDUA JENGO LA DAKHALIA ZANZIBAR

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Zanzibar, leo tarehe 11 Agosti 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jengo la Dakhalia katika Skuli ya Sekondari ya Husnuu Makame – Kibuteni Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya Tamasha la Kizimkazi. (Kizimkazi Festival 2026)

Post a Comment

0 Comments