MAMLAKA ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ZATAKIWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHERIA YA PPP

(CAG), kumekuwa na changamoto kubwa kwenye eneo la ununuzi, hivyo mafunzo hayo ni fursa muhimu kwa watendaji walioshiriki ili kuweza kutekeleza shughuli zao hususani za ununuzi lakini kutumia takwimu sahihi kupanga mipango ya maendeleo

Akizungumza kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa walioshiriki Mafunzo hayo, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bw. Martin Shigella, alisema kuwa wanapopata majukwaa ya mafunzo kama hayo yanasaidia kujua jambo gani la kufanya ili kusukuma jambo ambalo limekwama katika mkoa husika.

Aidha alimshukuru Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Nchemba kwa kuwaalika na wapo tayari kufanyia kazi yale yote yatakayowasilishwa kupitia mada mbalimbali katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Mkutano huo umewashirikisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, akizungumza wakati akizungumza wakati akitoa neno la shukrani kabla ya kuhitimishwa kwa Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu, tukio lililofanyika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akifungua Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu, tukio lililofanyika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma, ambapo amewasihi viongozi hao kutumia vyema mafunzo hayo katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika ununuzi wa vifaa na utekelezaji wa miradi kupitia Mfumo wa Ununuzi wa umma (Nest) na fursa ya kutekeleza miradi kwa njia ya Ubia. 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa
na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu, tukio lililofanyika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma, ambapo amewasihi viongozi hao kutumia vyema mafunzo hayo katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika ununuzi wa vifaa na utekelezaji wa miradi kupitia Mfumo wa Ununuzi wa umma (Nest) na fursa ya kutekeleza miradi kwa njia ya Ubia.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kufungua Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu, tukio lililofanyika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma, ambapo amewasihi viongozi hao kutumia vyema mafunzo hayo katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika ununuzi wa vifaa na utekelezaji wa miradi kupitia Mfumo wa Ununuzi wa umma (Nest) na fursa ya kutekeleza miradi kwa njia ya Ubia.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi, Jenifa Christian Omolo, akizungumza wakati wa Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu,  tukio lililofanyika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (Katikati), Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Dkt. Festo Dugange (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba (wa kwanza kushoto), wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi, Jenifa Christian Omolo (wa kwanza kulia), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Jiji, uliopo mji wa Magufuli-Mtumba, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

Post a Comment

0 Comments