RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AMESEMA WANAWAKE WAPEWE ELIMU YA DINI KIKAMILIFU


 Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia  waumini wa dini ya Kiislam wakati alipohudhuria katika Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake yaliyofanyika leo Agosti 31 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Wageni mbalimbali wakifuatilia mashindano  hayo ya Dunia ya Qur'ani tukufu kwa wanawake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es  Salaam Agosti 31,2024.
Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza leo kwenye mashindano ya ukhfadhi wa Qur'an tukufu kwa wanawake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya washindi  wa mashindano ya Qur'an tukufu wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam leo Agosti 31,2024 ambapo mshindi wa kwanza ni Algeria,wa pili mshiriki kutoka nchini Marekani,huku nafasi ya tatu imekwenda kwa msomaji kutoka nchini Jordan  nafasi ya nne imechukuiwa na.mshiriki kutoka Zanzibar na nafasi ya tano imechukuliwa na mwenyeji Tanzania mshindi wa kwanza amepata zawadi ya kwenda hija ndogo Umra.
Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria  katika mashindano ya Qur'an tukufu kwa wanawake yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
 (PICHA ZOTE NA IKULU)
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akimkabidhi  mshindi zawadi  mara baada ya kushinda kwenye mashindano ya Qur'an tukufu yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Agosti 31,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwq katika picha ya pamoja na washindi watano katika mashindano hayo ya Dunia ya Qur’an tukufu  pamoja na Viongozi mbalimbali.
Mufti  na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zubeir Bin Ally  akishuhudia  mashindano ya Qur'an tukufu  kwa wanawake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Agosti 31 ,2024.

Post a Comment

0 Comments