Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam |
Akihojiwa
meneja Mauzo Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village
wanafurahi sana kuweza kukaribia waTanzania katika madhimisho haya na
kuweza kuwaelezea mradi huo mkubwa wa Dege Eco Village. Aliongezea na
kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, Kigamboni
itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya chekechea,
sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. |
Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India. |
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya
Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco
Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika
ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village
walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia
kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village
na pia kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com
0 Comments