.Hapa ni fullshangwe .
Hapa ilikuwa ni Fuullllshagweeee.
Vijana wakimwaga shoo la ufunguzi katika barabara ya kwenda Morogoro hapa ni Manzese.
Waliojitokeza wakijimwayamwaya kwa tamasha lenye mvuto linalotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Hapa kina kaka wakiendeleza libeneke la shoo yao katika viwanja ya Bakhresa Manzese.
Hapa shangwe za uzinduzi zikiendelea .
Watangazi wa Redio Clouds Kushoto Simalenga na Anold Kayanda 'Mzee wa Kambi Popote' aliyekuwa MC hapa eakicheki jambo.
Shughuli na mwenyewe hapa watangazaji wa Redio Clouds Kibonde mwenye fulana nyeusi, Shadee wa kwanza kulia akifuatiwa na Regina Mwalekwa na mmoja wa mashabiki jina halikupatikana wakionyesha jinsi walivyo wajanja katika kusakata mtindo wa Kiduku.Mikoa mingine ambayo ilizindua Tamasha hilo jana na katika muda mmoja yaani saa kumi alasiri ni Arusha, Dodoma na Mwanza .
TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA MAHUSIANO KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Mei 14, 2026 amekutana na Kaimu
Balozi wa Marekani Nchini Andrew Lentz na kufanya majadiliano kuhusu
Mkataba ...
9 hours ago
0 Comments