KAMPUNI YA BIA SERENGETI WAPANDA MITI 1000 MOSHI

Meneja wa Kanda ya Kaskazini (SBL) Gerald Mandara akipanda mti, mjini moshi jana.

ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani.
Mkuu wa Wilaya akikabidhi mti kwa mama ambaye ni mkazi wa Himo , Mjini Moshi Kwa ajili ya kuupanda ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani hapo kesho.

Mama akikabidhiwa mti kwa ajili ya kwenda kupanda nyumbani kwake.

Post a Comment

0 Comments