Majaji wa Dansi la Serengeti Fiesta 2011 msimu wa dhahabu unaoendelea (Golden Moment) kutoka kushoto ni Khamis Mandi 'B12', Msami na Isakwisa.
Kundi la Still Unit wakionyesha ukali wao jukwaani hana na kundi la Andason ndiyo walioibika vinara katika shindano la Serengeti Dansi la Fiesta ikiwa ni katika kusherehekea msimu wa dhahabu.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza leo kwenye ukumbi wa Sunciro Club , Jijini Dar es Salaam kumshuhudia mkali wa Kudannsi katika shindano la Dansi la Fiesta 20100.Makundi mawili Still Unit.Hili ni kundi la Andason ambapo watawakilisha na kundi la Still Unit kuwakilisha Dar es Salaam katika fainali wiki ijayo watakapochuana na makundi kutoka Zanzibar, Arusha, Tanga, Mwanza,
0 Comments