KIONGOZI WA KAMBI YA WAPINZANI BUNGENI MBOWE YUKO MIKONONI MWA POLISI

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),ambaye pia ni Kiongozi waz Kambi ya wapinzani Bungeni kadhalika ni Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro.Amekamatwa na Polisi kufuatia amri ya Mahakama kwa kosa la kutofika Mahakamani mara mbili katika muda uliopangwa na Mahakama.Kufuatia kitendo hicho uongozi wa CHADEMA umelaani vikali kitendo hicho huku ukisema huko ni kwamisha juhudi za Mbowe akiwa Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni pia Waziri Mkuu Kivuli Bungeni kwani, atakosa vikao muhimu vya Bunge la Bajeti .



Post a Comment

0 Comments