Mshindi wa shindano la Serengeti Fiesta Freestyle Mafleva akinyanyuliwa juu juu na mashabiki wake, mara baada ya msimamizi wa mashindano hayo Dj Fetty kutoka Redio Clouds FM kumtangaza rasmi kushindi katika ukumbi wa Club Sun Ciro jana
Mshindi wa Serengeti Fiesta Freestyle Mafleva akiwa katika hatua za kubato na hasimu wake. Msimizi Mkuu wa shindano la Serengeti Fiesta Freestyle Dj Fetty akimtangaza mshindi.
Mshindi wa Serengeti Fiesta Freestyle Mafleva akiwa katika hatua za kubato na hasimu wake. Msimizi Mkuu wa shindano la Serengeti Fiesta Freestyle Dj Fetty akimtangaza mshindi.
0 Comments