Muumuni nae amezidi kuhangaika,ajue kuwa anapoteza muda na pia kuzidi kulifukia jina lake,cha kushangaza ni kuwa hakai bendi moja kwa muda mrefu,nadhani bendi yake imemshinda kuongoza na sasa inabidi tu awe mtu wa kuajiriwa,na si ajabu tukasikia tena amehama.Ni muimbaji mzuri lakini aangalie na tabia yake,huu ni ushauri wa bure. mpenzi wa muziki,Dar.
Anonymous said…
Ajabu jamani !!!Muumini Twanga tena???Itabidi aende kwa babu Loliondo kwanza akapate kikombe ndipo aje aanze kibarua Twanga,maana amezidi kuhama bendi,nadhani wamiliki wa bendi itabidi wawe chonjo sana na huyu bwana,nina uhakika akipata kikombe cha babu,atapona na aweze kutulia kwenye bendi mojaJ.J.Kinondoni.
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
*Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
2 Comments
mpenzi wa muziki,Dar.