Athumani Ford maarufu Wabogojo akitoa salamu kwa wageni kutoka Tanzania waliomtembelea katika eneo la CHUNG KING MANSION huko mjini HONG KONG China anakofanyia shughulizake za sarakasi kwa sasa. Wageni hao waliongoza na Mkurugenzi wa ASET Entertainment, Asha Baraka wa kwanza kulia na aliyesimama katikati ni shostito Mamaa Sofia wote wako huko katika masuala ya kibiashara.
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SAME ZAKATA MAWASILIANO YA KATA TANO..
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Same mkoani Kilimanjaro zimesababisha
kukatika kwa daraja ya Kizangaze na kukata mawasilia...
7 hours ago
0 Comments