
Hawa ni wacheza shoo wa bendi ya Mashujaa ambayo ina maskani yake Vingunguti a.k.a Mahakama ya Mbuzi Dar es Salam.

Rais wa bendi ya Mashujaa Jado Field Force (Jado FFU) , mwenye Jeans ya Blue katikati.

Susan Baltazary pamojana mashabiki wengine hapa kila mmoja akioonyesha umahiri wake kulisakata dansi la bendi ya Mashujaa ambao ni wakali wa miondoko ya Rhumba.
0 Comments