Bondia Ramadhani Shauri kushoto akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake kushoto Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Cosmas Cheka wa Morogoro akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake Ramadhani Shauri kushoto wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma pamoja na kocha wa Cheka Power Iranda picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Promota wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Ramadhani Shauri kushoto na Cosmasi Cheka watakaopigana tarehe 27 jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni kocha wake Christopher Mzazi na Promota Kaike Siraju |
Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari |
Bondia Cosmas Cheka akiongea na waanishi wa habari |
0 Comments