Bi Maryam Shamo ambaye ni Mratibu Miradi wa UWF, akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kuhusu mchakato wa kumtafuta mwanamke mjasiliamali ambaye amejaribu kufuata nyayo za Mwanamakuka, ila kutokana na changamoto mbalimbali zinazomkabili amekwama kufikia malengo yake kupitia mradi wa Mwanamakuka chini ya chama kisicho cha kiserikali UWF (United of women friends) wameamua kumuwezesha mwanamke mjasiliamali ili kufikia malengo yake,kilele cha ukabidhiwaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka itafanyika siku ya Wanawake Duniani,Machi 8 ,katika ukumbi wa Serena hotel zamani Movenpick,kulia kwake ni bi Jane Magembe ambaye ni Mratibu Msaidizi wa UWF.
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
8 hours ago
0 Comments