JK AMUAPISHA DR. JAMES MSEKELA KUWA BALOZI ITALY, ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KUPAMBANA NA MAHARAMIA

 Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali washuhudia awaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto)na  wa Tanzania  Dr Hussein Mwinyi  wakibadilishana nyaraka huku  wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu akitazama baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na  na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu na wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi  baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Gharib Mohamed Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh John Haule (kulia) na  Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Penaeli Lyimo (kushoto) na Dkt James Msekela baada ya kuapishwa kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na  na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini  DKT L.N. Sisulu na wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi  baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.

Post a Comment

0 Comments