MKOA WA TABORA WAPATA MREMBO WAO KUWAKILISHA KANDA YA KATI 2011

1.Florah Michael ni mwanafunzi wa SAUT tawi la Tabora mwaka wa kwanza2. Maua Kimambo ni mwanafunzi wa Mussoma utalli college Tabora mwaka wa kwanza3.Dalilah Gharib ni mwanafunzi UHAZILI Tabora mwaka wa pilizawadi kwa mshindi wa kwanza ilikuwa Dell Laptop ya sh kaki 7 na elimu yenye thamani ya laki tatu Musoma Utalii college. jumla 1mzawadi kwa mshindi wa pili Dell computer ya sh laki sita na elimu ya laki mbili Musoma utalii college Tabora.Zawadi kwa mshindi wa tatu Subwoofer na dvd player vya laki 250. Na elimu ya sh laki moja Musoma utalii college.washindi watatu hao watuwakilisha mkoa wa Tabora katika shindano la kanda mnamo tarehe 24/06/2011 mjini Dodoma ambalo litajumuisha mikoa ya Dodoma, Kigoma, Singida na Tabora, washindi watatu wa kanda ndio wataenda Miss Tanzania.Miss Tabora ilifanyika New Royal garden mnamo tarehe 27/05/2011 burudani iliporomoshwa na Amin, steve rnb, Hmbizo, Nash D, na Bekah.

Kutoka kulia ni Dalilah Gharib second runner up katikati Miss Tabora 2011/12 Florah Michael na Maua Kimambo first runner up.

Post a Comment

0 Comments