Wanenguaji wa bendi ya Twanga International wakionyesha umahiri wao wa kuachia nyonga jana usiku katika Ukumbi wa Top Life, Kinondoni Dar es Salaam.
Zahara kushoto na Asha Baraka kama Wachina wote wanasura moja.
Asha Sharapova hajalala huyu jamani bali ni utamuuu koleaaaaa teh teha na mzuka umepanda
Post a Comment
1
Comments
Anonymous said…
Hallow sister mimi ni mpz sana wa twanga kama vp weka picture nyingi za twanga kama hivi maana nimewamiss sana nipo mbali. Wako mpenzi wa blog yako. Billduke
1 Comments
Wako mpenzi wa blog yako.
Billduke