Home
About
Contact
Home-icon
HABARI
_KITAIFA
_KIMATAIFA
JAMII
AFYA
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
KUHUSU SISI
MAWASILIANO
Home
KEVIN WA NIGERIA ATUA BONGO KUKAMILISHA MIPANGO YA HARUSI YAKE NA ELIZABETH GUPTA
KEVIN WA NIGERIA ATUA BONGO KUKAMILISHA MIPANGO YA HARUSI YAKE NA ELIZABETH GUPTA
Khadija Kalili
9:22 AM
Mshindi wa Big brother revolution mwaka jana KEVIN CHUWANG akiwa na familia yake ametua hapa bongo kwa ajili ya kutoa mahali ya dada yetu Elizabeth tayari kwa maandalizi ya harusi yao itakayofanyika mwezi wa pili mwakani.Katika moja ya vikao vyake hapa Dar Kevin aliniita ili kushauriana mambo kadha wa kadha juu ya harusi yao lakini pia juu ya project zake anazotarajia kufanya Africa mashariki.Binafsi nilianza kujuana na Kevin katika jumba la big brother revolution mwaka jana ambapo mimi nilikuwa humo kama star mwalikwa tu,wakati naondoka katika jumba hilo baadhi ya housemate kama Hannington,Leonel nk waliniomba nguo zangu lakini Kevin yeye aliomba nimpatie jina la The great,nami nilimwita Kevin The great nikimwambia kuwa atakuwa the great wa jumba hilo,hatimae alishinda na kuzidi kuwasiliana nami.
(Picha story na Kanumba)
Post a Comment
0 Comments
ZINAZOBAMBA ZAIDI
OJA ,TEF,JOWUTA WASAINI MoU
8:54 PM
TARI NA ICIPE ZAONGEZA NGUVU KUDHIBITI WADUDU WAHARIBIFU WA MATUNDA
12:24 PM
CEO’s WARUDI NYUMBANI NGORONGORO.
8:28 PM
RC NYONGO AAGIZA UPANDAJI MICHE MILIONI MBILI YA KOROSHO PWANI
8:19 AM
TANZANIA, ALGERIA ZAPIGA HATUA ZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA TANO
5:18 PM
KIONGOZI WA MADAKTARI ATEKWA NA KUJERUHIWA
3:09 PM
NGORONGORO YAIVUNJA MIAMBA C-CEOs FORUM ARUSHA.
5:57 PM
IAA YANYAKUA TUZO CEOs FORUM 2026
7:06 AM
ASHA BARAKA AFANYA ZIARA FUPI KAMPUNI YA FREE MEDIA LIMITED
3:16 PM
JOWUTA, OJA KUIMARISHA USHIRIKIANO
5:37 PM
Maktaba Yangu
HABARI
706
HALI YA HEWA
135
JAMII
64
MICHEZO
58
MATUKIO
26
Afya
21
SIASA
19
MAISHA
16
KIMATAIFA
9
UTALII
8
BURUDANI
7
DINI
5
KILIMO
3
SHERIA
3
MUZIKI
1
RIADHA
1
TEKNOLOJIA
1
Social Media
Habari Mchanganyiko
FARU VICKY ALIVYOCHANGANYWA NA FARU TELELE NA KUMPIGA CHINI FARU JOHN
11:17 PM
WAHITIMU WATAKIWA KUWA MFANO WA KUIGWA
5:41 PM
KIONGOZI WA MADAKTARI ATEKWA NA KUJERUHIWA
3:09 PM
TANZANIA , ALGERIA KUKUZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA VIWANDA VYA DAWA
4:56 PM
WASTAAFU WAASWA KULINDA MAFAO YAO ,KUTUMIA MIFUMO YA KIDIJITALI
6:35 AM
MAGEREZA YAITIKISA NGOME YA JWTZ, YAIBUKA NA USHINDI WA SETI 3–2
2:37 PM
INSP LANGE AENDELEA KUNG’ARA RIADHA BAMMATA 2026
2:56 PM
ASHA BARAKA AFANYA ZIARA FUPI KAMPUNI YA FREE MEDIA LIMITED
3:16 PM
NGORONGORO YAIVUNJA MIAMBA C-CEOs FORUM ARUSHA.
5:57 PM
NCAA YAWAPIGA MSASA MALAIGWANAN
3:16 PM
0 Comments