Shirikisho la mpira wa mguu nchini TFF limeamua kuendesha Ligi maalumu ya soka kwa Shule za Sekondari Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni jaribio lake la kukuza kiwango cha soka hapa chini na yataanza kutimu vumbi jumamosi ya wiki ijayo katika viwanja vitatu jijini Dar es Salaam.
kaimu katibu mkuu wa TFF Sunday Kayuni amesema,Shirikisho hilo limeamua kufanya hivyo ili kuonyesha mfano wa kuibua na kunedeleza vipaji vya wachezaji chipukizi hapa nchini.
Kayuni amesema michuano hiyo itachezwa na marefa chipukizi na wasoni kwa lego la kuinua viwango vyao ili kuwa na marefa wenye ujuzi kwa faida ya soka la tanzania.
Shule 12 za wanaume na sita za wasichana kutoka kutoka katika mikoa ya kisoka ya Kinondoni,Ilala na Temeke.

0 Comments