RAPA WA FM ACADEMIA G7 ATISHIA MAISHA YA MTANGAZAJI NGULI WA MUZIKI WA DANSI NCHINI

Rapa G7 wa bendi ya FM Academia.

Na Dacota Delavida

 Baada ya kuandika tukio lililo tokea katika onyesho la Bendi ya FM Academia pale Kitambaa Cheupe kuhusiana namna ambavo 'Rapper' wa  bendi ya FM Academia G 7 ...kung'ang'ania kurap vipande vyote katika onesho  hilo na kuwabania wenzake 

"G 7 alinipigia simu na kuporomosha matusi ya nguoni vitisho na kashfa huku akisema kwamba akinikamata atanipiga na kunitoa rroh"amesema Dacota.

"G 7 amekua ni mtu wa kutishia Waandishi anapo andikwa ama taarifa zake zikitoka hasa kutokana na matendo yake ya hovyo labda hili linatokana tuhuma za  matumizi ya madawa ya kulevya ndiyo yanapelekea kuwa katika hali hiyo" amesema Delavida.

"G7 aliniahidi popote atakapo niona atanipiga na kunitoa roho au nikikuta mali yangu imeharibiwa basi nijue yeye" amesema Delavida.

"Lakini kazi yetu ni kutoa taarifa ya yote yanayojiri katika muziki huu wa Dansi iwe mazuri au mabaya muhimu ni kuheshimu utu wa mtu sababu taarifa zinazotoka ni zile zinazohusu maisha katika kazi yake na wala sio nje ya kazi" amesisitiza Delavida.

Simu hiyo ya vitisho kutoka kwa Rapa huyo  imepigwa leo  tarehe 2 Machi 2025 saa mbili usiku.

Post a Comment

0 Comments