MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.
NAFASI ZA UONGOZI WA SERIKALI ZA MASHEHA ZANZIBAR UNADAIWA KUTOZINGATIA
USAWA WA KIJINSIA
-
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar
DIRA ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020-2025 katika maadhimio namba
2.5.1 mpaka 2.5.9 yameeleza jinsi gani masuala ...
2 hours ago
0 Comments