Meneja
wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitoa maelezo
mafupi kwa wana habari juu ya ugeni kiwandani hapo kulia kwake ni Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan na kushoto kwake ni Msambazaji
mkuu wa bidhaa za Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani Kilimanjaro. Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan kushoto akiwa na mwenyeji wake
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitembelea
kiwanda hicho mwishoni mwa wiki hii. Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akionja bia ya Guinness
inayozalishwa kiwandani hapo(kulia) akiwa pamoja na katibu wake Nicholas
Michael(katikati) na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha bia cha
Serengeti Moshi Colman Hannah(kushoto)
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akipata maelekezo kutoka
kwa mtaalamu wa maabara ya kiwanda hicho Jemima Mwambungu. Mpishi
mkuu wa bia za Kampuni ya bia ya Serengeti Moshi Julius Nyaki akitoa
maelekezo kuhusu upikaji wa bia ya Guinness kwa Balozi wa Ireland nchini
Fionnuala Gilsenan mara baada ya kutembelea kiwanda hicho mwishoni mwa
wiki. Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan(kulia) akizungumza na wana habari
mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha
Serengeti cha mjini Moshi akiwa na Meneja wa kiwanda cha bia cha
Serengeti Moshi Colman Hannah. Meneja
wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah(kulia) akitoa
ufafanuzi zaidi kuhusu utengenezaji wa bia ya Guinness kwa Balozi wa
Ireland nchini Fionnuala Gilsenan(wa pili kutoka kulia) na katibu wa
balozi huyo Nicholas Michael(wa pili kushoto)
Tanzania na Japan Zajidhatiti Kusaidia Wakulima · Mkataba wa shilingi
bilioni 377 wasainiwa kusaidia wakulima
-
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Balozi wa Japan nchini
Tanzania Mhe. Yasushi Misawa wakitia saini mkataba wa shilingi bilioni 377
unaolenga ...
46 minutes ago
0 Comments