Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto
waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji
Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo, walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka kwenye
pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini
Dar es salaam leo, walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.PICHA NA IKULU
0 Comments