Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Mbilinyi aka ‘M II’ au ‘Sugu’ amethibitisha kuwa siku ya Jumapili ijayo (Juni 3) atatoa shoo ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala, jijini Dar es Salaam.
TEN/MET YACHANGIA MIL 53.2 KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU SONGWE
-
*Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu – Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Dkt. Ephreim Simbeye akizungumza wakati akifunga rasmi Maadhimisho ya Juma
la Eli...
1 hour ago

0 Comments