Ninayo furaha kuwafahamisha kuwa nimechaguliwa tena kuwania Tuzo za nchini Uganda zinazojulikana kama PAM "Pearl of Africa Music Awards" mwaka huu.
Jinsi ya ku VOTE......Andika 36 acha nafasi kisha andika Lady Jay D
Utume kwenda namba + 256 752 600 100
PAM Awards ni kubwa Tuzo zinazofanyika nchini Uganda kila mwaka, zinazoshirikisha wasanii kutoka Afrika mashariki.
Kwa kura zenu nilibahatika kushinda Tuzo hizo miaka mitatu " 3" mfululizo 2006, 2007 na 2008 kama Msanii Bora wa Kike kutoka Tanzania.
Na mwaka huu nimeingia tena katika kinyang'anyiro hicho cha Msanii Bora wa Kike kutoka Tanzania, basi naombeni kura zenu ndugu zangu tuongeze mzigo mwingine ili kabati liendelee kupendeza.
Natanguliza Shukrani.
Jay Dee
Diplomasia ya Mhe.Rais Samia Inawaleta Wakuu wa Nchi za Afrika Kushiriki
Mkutano wa M300 -Dkt.BITEKO. * Asema mafanikio ya Sekta ya Nishati nayo
imeibeba Tanzania Mkutano wa M300 * Vijiji vyote Tanzania vyafikishiwa
umeme * Ataja faida za Mkutano wa M300 Nchini
-
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia) pamoja
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson
Msigw...
1 hour ago
0 Comments