PICHANI NI MAJAJI WA SHINDANO LA BONGO STAR SEARCH (BSS), Kutoka kushoto Mzungu Kichaa, Jaji Mkuu Rita Poulsen na Master J.
Wadau na mashabiki wa mtanange huu wa BSS, mnataarifiwa kwamba kipindi hiki ambacho kwa kawaida huwa kinaonekana kial siku ya Jumapili sasa kitarushwa hewani leo usiku katika muda ule ule , badala ya kesho hiyo ikiwa ni katika kupisha Uchaguzi Mkuu wa Rais , Madiwani na Wabunge utakaofanyika nchini kote kesho.
BARAZA LA WAFANYAKAZI PSPTB LAFUNGULIWA
-
*Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB Godfred Mbanyi akizungumza wakati wa kufungua
kikao cha baraza la wafanyakazi wa PSPTB likilokuwa na lengo la kutathimini
...
10 minutes ago
0 Comments