Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chamwino, katika Uchaguzi mdogo unaofanyika leo tarehe 04 Novemba 2026.
Makamu wa Rais amepiga kura katika kituo namba Tano kilichopo Ofisi ya Kijiji cha Chamwino Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Awali,Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo, kabla ya kuteuliwa kuwa MMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chamwino, katika Uchaguzi mdogo unaofanyika leo tarehe 04 Novemba 2026.




0 Comments