UWANJA WA MKWAKWANI TANGA KUWAKA MOTO OKTOBA 5 MIYEYUSHO VS NORFAT

Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli naEmilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane  katikati ni Mratibu wa mpambano huo Anton Rutta picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli naEmilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane makubaliano hayo yalifanyika  Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com


Mabondia Emilio Norfat wa pili kushoto  akitia saini ya kupambana na
Francis Miyeyusho kulia  katika mpambano utakaofanyika
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane  makubaliano hayo yalifanyika Dar es salaam jana wengine ni Ibrahimu Kamwe na Anton Rutta  Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com


Na Mwandishi Wetu


bondia huyo mwenye rekodi ya kupambana mapambano 27 ambapo ameshinda 23 na kupoteza  mapambano 4 ameapa kamwe ato kubali kupeteza nafasi hiyi adimu kupatikana ambayo alikuwa akitafuta siku zote akizungumza na waandisha wa habari mara baada ya kutia saini mkataba wa kuzxipiga na Miyeyusho alisema mimi ni namba mbili yeye ni namba moja kwa Tanzania hii hivyo nikimpiga tu mimi ndio nakuwa nashikilia usukani katika nchi hii
 
nae bondia Francis Miyeyusho anaeshikilia nafasi ya kwanza kwa ubora nchini amechezamapambano 51 ameshinda 38 na kupoteza 11 na mapambano 2 akitoa droo
amesema ayupo tayali kabisa kupoteza mpambano huo utakaopigwa katika jiji la Tanga uwanja wa Mkwakwani na kuwataka mashabiki wake wote nchini kumuunga mkono kwa kwenda kuangalia ngumi siku hiyo ambayo ni mara yangu ya kwanza kucheza katika mkoa huu.

siku hiyo pia kutakuwa na uuzwaji wa 
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.

Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi Duniani

kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi

Post a Comment

0 Comments