MBUNGE wa jimbo la Bahi Mkoani Dodoma (CCM) Omar Ahmed Badwel (43) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam leo kwa tuhuma za kupokea rushwa kiasicha Mil1 .
Hapa Mbunge huyo akiwa chini ya ulinzi.(Picha kwa hisani ya Francis Dande).
TUTAKUWA WAKALI- DKT AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema watakuwa wakali kwa watumishi watakaokiuka tarati...
3 hours ago
0 Comments