
Jamani wadau huyu mtoto anaitwa Sandra ameanza kusoma chekechea katika shule ya Junior Day Care Centre ya Yombo Dar es Salaam.Leo asubuhi aligoma kwenda shule hivyo baba yake akalazimika kumbembeleza kwa njia ya simu huku akumuahidi kumletea ubao,school bag mpya, chanzo cha kugoma ni kung'ang'ania pete za mamake Uwiii jamani watoto wa siku hizi hao.Lakini baadaye alikubali kwenda mara baada ya kuridhika na ahadi alizopewa.
4 Comments
oddo iddi