Redd's Fashion Party yafana

Warembo wakifurahia Tunzo zao kutoka TBL
Warembo wa Kanda tatu za Dar es Salaam hapa kabla ya kukabidhiwa zawadi maalum kutoka TBL, Kupitia kinywaji cha Redd's katika sherehe maalum iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Movenpick.
Miss Ilala wa kwanza kushoto,Miss Temeke na Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja katika pati iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia nchini (TBL), kupitia kinywaji cha Redd's.
Mwanamitindo wa kutumainiwa Bongo Fideline Iranga akiwa katika pozi
Mbunifu wa mitindo ya nguo Asia Idarous akibadilishana mawazo na wadau.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania Prashant Patel naye alikuwepo
Wanahabari kama kawaida ndani ya nyumba Kulia ni mimi nikiwa na Mtangazaji wa Redio ya Chama Cha Mapinduzi CCM Redio Uhuru Cecy Jeremiah.
Kushoto aliyekuwa Miss Dar es Salaam 1996 Miriam Ikoa akifuatilia onyesho.

Jokate Mwegelo na Leila Bhanji

Mhariri wa Habari za Michezo na Burudani wa gazeti la Majira, katikati ni Mkuuwa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye akifuatiwa na mwandishi wa habari za michezo na burudani wa gazeti la Mwananchi Clara Alphonce.
Jokate
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Emmanuel Kavishe
Wadau
Mimi na Mpiganaji Othman Michuzi ambaye ni mwanablog kupitia blog ya Mtaa kwa mtaa.blogspot.com
Asia akiwa na Fide. Hivi sasa Asia ambaye ni Mkurugenzi wa Faback Fashion's yuko katika maandalizi ya onyesho babkubwa la Khanga ambapo mwaka huu amesema watakaopita jukwaani ni wakina mama na kina dada wenye kufahamika huku kila mmoja atatakiwa kubuni vazi lake atakalopita nalo jukwaani siku hiyo ya Oktoba mosi mwaka huu kaa tayari kujua litafanyika wapi na mambo mengine yatakayojiri siku hiyo.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
jamanidada fide asipotabasabu anapendeza sana lakini akitabasabu anachukiza sana hiyo picha aliyopigwa hapo juu ya kumshtukiza imetoka bomba sana