Jaji mpya wa Bongo Star Seach 2010 Mzungu Kichaa akiwa na madame Rita Paulsen, mwandaaji wa shindano hilo la kusaka vipaji vya muziki nchini ambalo hivi sasa linaendelea. Baada ya kupita mikoa mbalimbali Agosti 10 hadi 12 ni zamu ya Dar na msako utafanyika Coco Beach kuanzia saa moja za asubuhi. hivyo vijana wenye vipaji mnaombwa mjitokeze kwa wingi

Post a Comment

0 Comments