Matukio ya uchaguzi wa TASWA

Baadhi ya wanahabari waskifuatilia pichani mwenyemiwani ni Mwani Nyangasa na Mwanahiba kutoka New Habari Corporation.
Wagombea wa nafasi ya Mweka Hazina, Sultan Sikilo na Dina Ismail, wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzai.

Mwali Ibrahim (kushoto) na Amina Athumani ambao ni miongoni mwa wanachama wa Taswa, wakiwa ndani ya chumba cha uchaguzi.


Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi Abdul Mohamed na Mjumbe Asha Muhaji wakiendesha kikao hicho cha uchaguzi.



Wagombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za michezo TASWA, Mpoki Bukuku na Masoud Sanani (kulia) wakiwa ndani ya chumba hicho wakati wakisubiri kuanza kwa mchakato huo.

Mgombea Uenyekiti Juma Pinto, akiwa kwenye foleni ya kuelekea kupiga kura.Mgombea Ujumbe Cecilia Jeremiah (kushoto) akipozi kwa picha na Mgombea wa nafasna uweka Hazina Dina Ismail na mwana blog ya Bongo Weekend, Khadija Kalili

Mgombea nafasi ya Uenyekiti, Mpoki Bukuku, akipozi kwa picha kabla ya matokeo.......

Wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Tom Chilala (kulia) na Maulid Kitenge, wakisalimiana kabla ya uchaguzi.

Post a Comment

0 Comments