Matukio mbalimbali katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki Mkutano huo Jijini Harare nchini Zimbabwe tarehe 17 Agosti, 2024
Rais wa Jamhu ya muungano akifuatilia jambo katika mkutano huo wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.
WANAFUNZI FUNGUNI SEKONDARI WAJIFUNZA UJASIRIAMALI KWA VITENDO
-
NA: MWANDISHI WETU, PANGANI.
Utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu unaozingatia umahiri kwa wanafunzi
unaendelea kutekelezwa nchi nzima katika kuhakikisha n...
1 hour ago








0 Comments