BENKI YA POSTA YAANDAA CHAKULA CHA USIKU KWA WAHARIRI KWA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM

-- Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) mara baada ya kuwapa zawadi ya kuwapongeza kwa kuchaguliwa kuongoza jukwaa hilo. Benki ya Posta jana iliandaa chakula cha jioni na kujumuika na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) mara baada ya kuwapa zawadi ya kuwapongeza kwa kuchaguliwa kuongoza jukwaa hilo. 

Benki ya Posta jana iliandaa chakula cha jioni na kujumuika na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi.Baadhi ya wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri hao. Baadhi ya wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri haoBaadhi ya wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri hao. Baadhi ya wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri hao Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumzia mafanikio na changamoto za benki hiyo na namna ilivyokabiliana nazo hadi kufanya vizuri katika sekta hiyo. Benki ya Posta jana iliandaa chakula cha jioni na kujumuika na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumzia mafanikio na changamoto za benki hiyo na namna ilivyokabiliana nazo hadi kufanya vizuri katika sekta hiyo. Benki ya Posta jana iliandaa chakula cha jioni na kujumuika na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi.Sehemu ya Wahariri wa vyombo vya habari kutoka katika vyombo anuai wakiwa katika chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa wahariri hao na benki ya posta kutambua mchango wao. Sehemu ya Wahariri wa vyombo vya habari kutoka katika vyombo anuai wakiwa katika chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa wahariri hao na benki ya posta kutambua mchango wao.Mwenyekiti mpya wa TEF, Theophil Makunga akitoa shukrani Mwenyekiti mpya wa TEF, Theophil Makunga akitoa shukrani.Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta, Noves Moses akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kabla ya kumkaribisha Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi kwenye hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri hao. Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta, Noves Moses akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kabla ya kumkaribisha Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi kwenye hafla ya chakula cha jioni jana jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa maalum na Benki ya Posta Tanzania kwa wahariri haoSabasaba Moshingi akizungumzia mafanikio na changamoto za TPB___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com

Post a Comment

0 Comments