SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAZABUNI NA WAKANDARASI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la nyongeza, bungeni Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano)
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali la  Mheshimiwa Bupe Nelson Mwakang’ata, Mbunge wa Viti Maalum, aliyetaka kujua ni lini Serikali itawalipa wazabuni na wakandarasi waliotoa huduma mbalimbali katika Mkoa wa Rukwa, ambao hawajalipwa kwa kipindi cha miaka mitano, bungeni jijini Dodoma

Post a Comment

0 Comments