RC KUNENGE AWASILI MKOANI SONGWE


 Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Abubakar Mussa Kunenge, amewasili rasmi Mkoani Songwe leo, tarehe 03 Septemba 2026, kufuatia uhamisho wake uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan tarehe 27 Agosti 2026 akitokea Mkoa wa Pwani.

Mhe. Kunenge amewasili Mkoani Songwe kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake ya katika Mkoa .

Post a Comment

0 Comments