Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi wa Tanzania nchini India John W.H.Kijazi walipofika
katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka
shada la maua katika makumbusho hayo, akifuatana na ujumbe wake katika
ziara ya siku tatu nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa kwa shuhuli ya uwekaji wa maua kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi mjini New Delhi India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa kwa shuhuli ya uwekaji wa maua kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi mjini New Delhi India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la maua katika Makumbusho
ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo ni sehemu maalum
iliyotayarishwa kwa wageni mbalimbali wanaofika katika Makumbusho hayo,
Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake nchini India. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
na mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiomba dua baada
ya wakiweka shada la mauwa katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini
New Delhi, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake nchini India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika Makumbusho ya
Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India baada ya kuweka shada la
mauwa (katikati) ni mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa
Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kulia).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na mwenyeji wake MakamU wa Rais wa India Mohammed Hamid
Ansari, mara alipowasili Ofisini kwake Mjini New Delhi,akiwa na ujumbe
aliofuatana nao wakiwemo Mwaziri mbali mbali na makatibu. (Picha na Ramadhan Othman, India)
0 Comments