Gari Aina ya Pro Box Ikiwa tayari kusafirisha abiria |
Mwakilishi wa kikundi cha usalama barabarani Fungo Agustus ametutumia Tukio hili ambalo ni hatari kwa abiria mkoani Geita.
Gari ndogo aina ya Pro Box zimeingia kwa wingi mkoani Geita na kutumika kubebea abiria katika mazingira ambayo si salama na ni hatarishi kwa abiria hao.Abiria wamekuwa wakipakiwa kwenye mabuti ya kuwekea mizigo tena kwa msongamano mkubwa.
Zifutazo chini ni picha za kinachoendelea kwenye usafirishaji eneo la Buseresere.
Abiria wakiwa wamekusanywa kwenye buti eneo la kubebea mizigo huku wakiwa sambaba na watoto wadogo.
Aina nyingine ya Gari ndogo inayotumika kubebea abiria
Mizigo na Watoto wakiwa wamekusanywa pamoja na mizigo nyuma ya Gari hiyo
0 Comments