Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camilius Wambura amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule (Pichani)kuwa Kamanda mpya wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), akichukua nafasi ya marehemu SACP Richard George Abwao aliyefariki Juni 20, 2026. Kabla ya uteuzi huo, ACP Lulengele alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Tabora.
0 Comments